2 Oktoba 2024 - 01:49
Video | Makombora ya Balistiki ya Iran yalenga shabaha zake moja kwa moja kwenye ardhi  zinazokaliwa kimabavu

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Kulingana na video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, makumi ya makombora ya Balistiki ya Iran yalipenya mifumo ya ulinzi wa anga ya utawala haram wa Kizayuni na kugonga moja kwa moja kwenye shabaha zilizokusudi kwa usahihi zaidi katika maeneo ya Palestina yanayokaliwa kimabavu na Israel.